Do you have a business idea? Here your opportunity

Wewe ni kijana wa kitanzania mwenye umri kati ya miaka 16-25 na una wazo la biashara lenye ubunifu na linaloendana na 17 Global Goals For Sustainable Development?

JA Tanzania ikishirikiana na JA Kenya inakuletea Innovation Challenge, ambayo itafanyika Nairobi, Kenya tarehe 7th March, 2018 chini ya ufadhili wa NiC Bank Kenya.

Mshindi atapatiwa fedha taslimu za Kenya 300,000/-

Jinsi ya kushiriki:-
->Muwe katika kundi la watu wawili hadi watano,
->Mje na wazo kutokana na 17 Sustainable Development Goals,
->Tutumie mchanganuo wa wazo la biashara yako kwenye barua pepe juniorkisanga@tanzania.org.

Mwisho wa kupokea michanganuo ni tarehe 21st February, 2018

Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na JA Tanzania kupitia info@jatanzania.org

No comments:

Post a Comment